ufmradiotz
ufmradiotz
  • 1 648
  • 8 552 416
Je, Simba SC inahitaji muda zaidi ili kuimarika? Uchambuzi wa Baruan Muhuza
Mtangazaji Mkongwe na Mkuu wa UFM Radio, Baruan Muhuza anaiangazia Simba Sports Club baada ya kuanza kwa msimu wa 2024 / 25 wa NBC Premier League.
Simba SC imepata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Tabora United kwenye mchezo wa kwanza wa NBCPL lakini kuna minong'ono kuwa bado ubora wa Simba SC una mashaka?
Jicho la Muhuza linaonaje?
Msikilize
Переглядів: 327

Відео

Polisi yawasaka waliombaka hadi kumuua mtoto wa miaka mitano Mbagala Kichemchem
Переглядів 2749 годин тому
Jeshi la Polisi - Kanda Maalum ya Dar es Salaam limeanza msako wa watuhumiwa wa ubakaji kisha mauaji ya mtoto wa kike aliyekuwa na umri wa miaka mitano ambaye mwili wake uliokotwa jana Agosti 14, kwenye pagale lililopo Mbagala Kichemchem. Kamanda wa Polisi - Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro amezungumza na @ufmtz na kutoa maelezo ya kina. Msikilize #UfmUpdates
Biteko aamuru wazazi wanaoficha watoto wakamatwe
Переглядів 7621 день тому
Biteko aamuru wazazi wanaoficha watoto wakamatwe
Taharuki ya 'wanafunzi kutekwa' shule ya Bryson iliyopo Mburahati Dar es Salaam
Переглядів 39028 днів тому
Taharuki ya 'wanafunzi kutekwa' shule ya Bryson iliyopo Mburahati Dar es Salaam
Boniface Mwaitege akanusha kifo, yuko mzima wa afya
Переглядів 13728 днів тому
Boniface Mwaitege akanusha kifo, yuko mzima wa afya
Jeshi la Polisi laishukuru Milembe insurance, yawasihi wadau wengine kuchangia usalama barabarani
Переглядів 44Місяць тому
Jeshi la Polisi laishukuru Milembe insurance, yawasihi wadau wengine kuchangia usalama barabarani
"Suala la Lameck Lawi bado lina utata" - Ahmed Ally
Переглядів 436Місяць тому
"Suala la Lameck Lawi bado lina utata" - Ahmed Ally
USAJILI SIMBA SC || Ahmedy Ally afungukia usajili wa Mnyama Simba SC
Переглядів 497Місяць тому
USAJILI SIMBA SC || Ahmedy Ally afungukia usajili wa Mnyama Simba SC
SIKU YA KISWAHILI DUNIANI || Je, wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ghana wanakizungumziaje Kiswahili?
Переглядів 74Місяць тому
SIKU YA KISWAHILI DUNIANI || Je, wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ghana wanakizungumziaje Kiswahili?
UCHAMBUZI: Kocha Mpya wa Simba SC || Sifa zake na mashabiki watakachokipataka kutoka kwake
Переглядів 7 тис.Місяць тому
UCHAMBUZI: Kocha Mpya wa Simba SC || Sifa zake na mashabiki watakachokipataka kutoka kwake
MSD yafunguka kuhusu mipango mbalimbali ya uzalishadi dawa nchini na ushirikiano na nchi za SADC
Переглядів 35Місяць тому
MSD yafunguka kuhusu mipango mbalimbali ya uzalishadi dawa nchini na ushirikiano na nchi za SADC
Mafundi ujenzi wawili washikiliwa na polisi kwa tuhuma mauaji ya watu wawili Dodoma
Переглядів 360Місяць тому
Mafundi ujenzi wawili washikiliwa na polisi kwa tuhuma mauaji ya watu wawili Dodoma
GHARIB MZINGA Amdadavua MVP Jean Charles Ahou ndani ya SPORTS BANDO ya UFM
Переглядів 20 тис.Місяць тому
GHARIB MZINGA Amdadavua MVP Jean Charles Ahou ndani ya SPORTS BANDO ya UFM
MAJI YA MDIMU: SIMBA SC KUSHUSHA KOCHA MKUU KUTOKA AFRIKA KUSINI
Переглядів 4492 місяці тому
MAJI YA MDIMU: SIMBA SC KUSHUSHA KOCHA MKUU KUTOKA AFRIKA KUSINI
MSIGWA AKATA RUFAA UCHAGUZI WA CHADEMA KANDA YA NYASA
Переглядів 2872 місяці тому
MSIGWA AKATA RUFAA UCHAGUZI WA CHADEMA KANDA YA NYASA
KOCHA GAMONDI AKWEPA MTEGO WA MTANGAZAJI WA AZAM TV/ AGOMA KUMTAJA MCHEZAJI BORA WA MCHEZO
Переглядів 6792 місяці тому
KOCHA GAMONDI AKWEPA MTEGO WA MTANGAZAJI WA AZAM TV/ AGOMA KUMTAJA MCHEZAJI BORA WA MCHEZO
BOIMANDA: KANUNI ZIMEZUNGUMZA TUZO ZA LIGI/ TFF WANA TUZO ZAO/ HAWAJAVUNJA KANUNI ...
Переглядів 2072 місяці тому
BOIMANDA: KANUNI ZIMEZUNGUMZA TUZO ZA LIGI/ TFF WANA TUZO ZAO/ HAWAJAVUNJA KANUNI ...
TRA KUWAKAMATA WAENDESHA BODABODA, BAISKELI TABORA/ WANAOBEBA MIZIGO ISIYO NA RISTI
Переглядів 1032 місяці тому
TRA KUWAKAMATA WAENDESHA BODABODA, BAISKELI TABORA/ WANAOBEBA MIZIGO ISIYO NA RISTI
KOMBE LAKABIDHIWA KWA WENYEWE/ KINACHOFUATA NI PARADE ...
Переглядів 1 тис.2 місяці тому
KOMBE LAKABIDHIWA KWA WENYEWE/ KINACHOFUATA NI PARADE ...
TAZAMA MBWEMBWE ZA WACHEZAJI WA YANGA SC WAKIVALISHWA MEDALI ZA UBINGWA LIGI KUU 2023/34
Переглядів 23 тис.2 місяці тому
TAZAMA MBWEMBWE ZA WACHEZAJI WA YANGA SC WAKIVALISHWA MEDALI ZA UBINGWA LIGI KUU 2023/34
MWANADADA ALIVYOINGIA NA KOMBE LA YANGA SC DIMBA LA MKAPA
Переглядів 1,1 тис.2 місяці тому
MWANADADA ALIVYOINGIA NA KOMBE LA YANGA SC DIMBA LA MKAPA
KOMBE LA YANGA SC LIKITUA KWA HELIKOPTA DIMBA LA BENJAMIN MKAPA
Переглядів 4,8 тис.2 місяці тому
KOMBE LA YANGA SC LIKITUA KWA HELIKOPTA DIMBA LA BENJAMIN MKAPA
KIONGOZI MKUU WA IRAN ALIVYOPATA PIGO KUFUATIA KIFO CHA RAIS EBRAHIM RAISI
Переглядів 4752 місяці тому
KIONGOZI MKUU WA IRAN ALIVYOPATA PIGO KUFUATIA KIFO CHA RAIS EBRAHIM RAISI
KIFO CHA RAIS WA IRAN KINA MASWALI MENGI YA KUJIULIZA - RAHBI
Переглядів 2462 місяці тому
KIFO CHA RAIS WA IRAN KINA MASWALI MENGI YA KUJIULIZA - RAHBI
SHILINGI BILIONI 97 KUMALIZA KUKATIKA KWA UMEME SIMIYU
Переглядів 153 місяці тому
SHILINGI BILIONI 97 KUMALIZA KUKATIKA KWA UMEME SIMIYU
AKAMATWA KWA KUUZA DAWA BANDIA ZA BINADAMU DUKANI KWAKE KAHAMA
Переглядів 1463 місяці тому
AKAMATWA KWA KUUZA DAWA BANDIA ZA BINADAMU DUKANI KWAKE KAHAMA
MTANDAO WA USAFIRISHAJI WAHAMIAJI HARAMU WANASWA MBEYA
Переглядів 1493 місяці тому
MTANDAO WA USAFIRISHAJI WAHAMIAJI HARAMU WANASWA MBEYA
KOCHA MGUNDA AIPONGEZA YANGA KUTWAA UBINGWA/ AWAKA AKIJIBU MASWALI YA WAANDISHI/ LIGI BADO SANA ...
Переглядів 5763 місяці тому
KOCHA MGUNDA AIPONGEZA YANGA KUTWAA UBINGWA/ AWAKA AKIJIBU MASWALI YA WAANDISHI/ LIGI BADO SANA ...
WATOTO 194 WAPEWA UJAUZITO NDANI YA MWEZI MMOJA MOMBA/ RC CHONGOLO ATOA MAAGIZO
Переглядів 803 місяці тому
WATOTO 194 WAPEWA UJAUZITO NDANI YA MWEZI MMOJA MOMBA/ RC CHONGOLO ATOA MAAGIZO
KOCHA DODOMA JIJI AELEZA ATAKAVYOIMALIZA SIMBA SC KESHO/ ADAI ANAYAJUA MAPUNGUFU YA MNYAMA
Переглядів 923 місяці тому
KOCHA DODOMA JIJI AELEZA ATAKAVYOIMALIZA SIMBA SC KESHO/ ADAI ANAYAJUA MAPUNGUFU YA MNYAMA

КОМЕНТАРІ

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani Годину тому

    Mashabiki wa simba msikilize baruani

  • @timotheothadeomgassa4929
    @timotheothadeomgassa4929 Годину тому

    Aisee kaka yangu Baruani Muhuza hakika umenikosha sana. Umeongea vyema sana tena wewe unajua na unajua tena

  • @AlexLazaro-tf3om
    @AlexLazaro-tf3om 7 годин тому

    Baruani mhuza ni mtu na nusu🔥🔥

  • @ChandeWaiti
    @ChandeWaiti 3 дні тому

    Ndio kwer

  • @saedallyahmed
    @saedallyahmed 4 дні тому

    Mtihani sana

  • @putilegamagama6049
    @putilegamagama6049 4 дні тому

    USHIRIKINA UMEKITHIRI MNO.

  • @husseniselemani-jy1gy
    @husseniselemani-jy1gy 4 дні тому

    Mbona sauti haipo tunakosa uhodo wagine jamani Omar kataga mwambie fundi mtambo aagalie shida nini?

  • @AthumanMagalo
    @AthumanMagalo 4 дні тому

    Ufm habar za studio hapo pamoja ufm na michezo

  • @WilliamMgusi
    @WilliamMgusi 4 дні тому

    wazee wa u live naomba kuuliza mchezaji wa zamani wa mtibwa pia alipita simba anaitwa salimu mbonde aipotelea wapi alikuwa bonge la beki

  • @NestorySlugho
    @NestorySlugho 4 дні тому

    Mtuambie na wale waliombaka dada wa yombo imefikia wapi.

  • @narutonaruto4303
    @narutonaruto4303 4 дні тому

    Haya mambo mbn yamezid jaman😢😢

  • @BiutyMaokola
    @BiutyMaokola 4 дні тому

    Unafaa Kuwa mwalimu

  • @johannmaloda6027
    @johannmaloda6027 4 дні тому

    Good👍👍👍

  • @hassanmakoja3074
    @hassanmakoja3074 5 днів тому

    Oyaaa UFM 🔥💥

  • @FrenkEliaKafene
    @FrenkEliaKafene 5 днів тому

    Ally kamwe ni hatari zaidi ya danger likija suala la mpira

  • @hassanmakoja3074
    @hassanmakoja3074 5 днів тому

    Kama unaamin kamwe anawakimbiza Kila wanapokanyaga nenda kachekee chooni watakuumiza😮😮

  • @mwansasujonny3536
    @mwansasujonny3536 5 днів тому

    Mwenyekiti kameza kikao dadadeeeeeeeq.... Huyo ndo Ally Kamwe bana...

  • @veelmng7746
    @veelmng7746 5 днів тому

    Haa Leo ni kipindi bomba sana

  • @AbdallahIddi-h8i
    @AbdallahIddi-h8i 5 днів тому

    kamwee nakuombeeea mungu akulinde kk unaupiga mwing sana

  • @5googleuuu727
    @5googleuuu727 5 днів тому

    ALLY KAMWE MUNGU AKULINDE NA MABAYA NA AKUJALIE AFYA NJEMA NA FURAHA NDANI YA MOYO WAKO AMIIINA YANGA OYEEEEEEEE RAHA TU💚💛

  • @jamesmwakila5866
    @jamesmwakila5866 5 днів тому

    🔥🔥🔥💚

  • @edwardbenezeth8965
    @edwardbenezeth8965 5 днів тому

    💛💚💪💪

  • @Brince-ls6pv
    @Brince-ls6pv 5 днів тому

    Alikamwe mtu na nusu kabsa

  • @DjFae.b255
    @DjFae.b255 5 днів тому

    Yanga 💚💛🦅

  • @godfreygodwin7510
    @godfreygodwin7510 5 днів тому

    VALENTINO MASHAKA NA YUSUPH KAGOMA WALIJUMUISHWA KWENYE MCHEZO WA MSHINDI WA TATU NGAO YA JAMII.HIVYO BASI SUALA LAO LIMEKUA SOLVED

  • @damasmahega5597
    @damasmahega5597 6 днів тому

    Damas mahega kutoka mbez malamba mawili kaka Omari katanga Simba bado hatujamaliza msimu huu naimani na timu yangu tutafika mbali

  • @emanuelnyamhangamwita8729
    @emanuelnyamhangamwita8729 7 днів тому

    Kwa yanga hii tunachukua ubingwa mbaka mwaka 2030

  • @StumaiRashidi-p6s
    @StumaiRashidi-p6s 8 днів тому

    Kiukweli naumia sana mimi timu yangu simba lakini azam wanavyo cheza mpira wao unanivunja nguvu naitwa stumai zanda au babu au mtoto wabibi robi nipo magomeni mtaa wamzumbe

  • @PeterKulwa-v2h
    @PeterKulwa-v2h 8 днів тому

    Leo tena fei azile kuvaa medali

  • @RinoMajembe
    @RinoMajembe 9 днів тому

    Naitwa majembe pande za kimara napenda kuuliza iv bruno gomes yupo wap

  • @JacksonSanga-h9b
    @JacksonSanga-h9b 10 днів тому

    🔥 🔥

  • @MagrethPiusHenjewele
    @MagrethPiusHenjewele 10 днів тому

    Habala ya studio omali katanga samahani ndugu yangu mm naomba kuuliza nikwanini ukienda uwanjani umekata ticketi yako vizuli lakini unaombwa hela tena ni some kama seneta nikiwa kipati

  • @putilegamagama6049
    @putilegamagama6049 11 днів тому

    ❤❤😂Hongera sana young african's, hongera mtani leo umetuweza.

  • @LucasMartin-f2x
    @LucasMartin-f2x 11 днів тому

    Lucas Martin nikiwa Kenya nawapata

  • @issamelody5818
    @issamelody5818 11 днів тому

    Issa kutoka tp temeke yanga hawezi kua kwenye mtego wowote wa simba ndio mana ume muona duke uwanjani

  • @李财智
    @李财智 11 днів тому

    Kka kawambwa naitakia kheri timu yangu ya simba sc niite ayubu bakari maumba au mwalubadu wa simba nikiwa mbagara kilungule dsm

  • @abdulmrisho21
    @abdulmrisho21 11 днів тому

    SIMBA SC Vs YANGA SC Nafikiri mechi baina ya timu hizi mbili itaamuliwa kwa hivi vitu vinne 1: Timu ambayo itakuwa na ufanisi sana katika kutumia ( Turn Overs ) yani ule muda ambao mpinzani wake akipoteza mpira na yeye kuanzisha shambulizi hapo hapo 2: Timu ambayo itakuwa na muundo mzuri wa ulinzi pale ambapo wakiwa na umiliki wa mpira , hasa wakiwa wanashambulia ( a good rest defense ) 3: Timu ambayo itakuwa organized vizuri pale ambapo wakipoteza mpira either waamue kuweka presha kwenye mpira haraka baada ya kupoteza mpira " Counter pressing " au kushuka chini haraka sana kuondoa hatari ya counter attacks 4: Kupunguza distance kubwa sana baina ya mstari wa ushambuliaji na ulinzi wakiwa na mpira na bila mpira ( COMPACTNESS ) ... ni hatari sana kuruhusu spaces za kutosha .

  • @Tatuhemed
    @Tatuhemed 11 днів тому

    Amjamboooooooooooooo naitwa tatu

  • @DamasiMasawe-tk6tm
    @DamasiMasawe-tk6tm 11 днів тому

    Ebwanaujamboooooooooooo

  • @zakariapaulowiliamuwiliamu1840
    @zakariapaulowiliamuwiliamu1840 11 днів тому

    Madege upo vizur sana katka kuchambua mambo

  • @malcomzakaria9704
    @malcomzakaria9704 12 днів тому

    Sasa mbona mnatoa codes za mbinu ya mechi ya kesho. Malcom, Dar.

  • @malcomzakaria9704
    @malcomzakaria9704 12 днів тому

    Nawaona Live. Mnatisha sana. Katanga na Simba- Ulanga ni shida nyingine. Mnanikuna sana. Malcom - Dar.

  • @makamelila
    @makamelila 13 днів тому

    Mm mapongeza kama litafanyika Hilo kwasababu wasemaji wengine wanhamasisha vurugu katika michezo mfano alikamwe aliwaita wapenzi wayanga wakatoeuchafu wa Simba saanane za usiku baada ya Simba day wakati Simba wanajua kama baada ya wao ni sikubya yanga day na akajigamba waliwafukuza watu wa Simba kwenye supu wakati waondio waliowatala wakanywe supu haya kwa mm ni matamkobyanawwsa kusababisha vurugu michezoni naomba kila msemaji adiki na Tim yake wasichokozane

  • @KehadBaitan-r8v
    @KehadBaitan-r8v 13 днів тому

    Kwa mara yakwanza nawaona mbashara.

  • @KehadBaitan-r8v
    @KehadBaitan-r8v 13 днів тому

    Naitwa kehadi baitani natokea mwandege nipo hapa nawasikiliza kwa mara yakwanza namuona msa kawabwa kwavizur sana fm mnaturahisha sana ikifika muda kama huu mi ni mshabiki wa simba kindakiki tukutane tarehe8 nd watajua kama sisi simba tuna timu mbovu wajiandae vizur wasije kufa na plesha.

  • @sirnunda3758
    @sirnunda3758 13 днів тому

    Wewe Gilbert Johanes ni Yanga waziwazi umeshindwa kabisa kubalance mahaba hako kwa Yanga

  • @sirnunda3758
    @sirnunda3758 13 днів тому

    Leo mitambo yenu ndiyo haina hitilafu tena wewe uliye anza na matangazo ni mmnazi kwelikweli wa Yanga umeshindwa kabisa kujificha sawa na Gift Macha

  • @sirnunda3758
    @sirnunda3758 13 днів тому

    Yaaani nyie UFM siku ya simba day ndiyo mitambo yenu ya radio ndiyo ikawa na shida siku ya Yanga day mitambo wala haikusumbua nyie wachambuzi hapo ukitumia akili wengi ni wanazi wa timu zenu kama Gift Macha

  • @MasingaKoshongaa-t9u
    @MasingaKoshongaa-t9u 14 днів тому

    Sidai naleng'🎉

  • @evelinachaula-l3c
    @evelinachaula-l3c 14 днів тому

    Yanga lahaaaa tena tamu sa💛💚💛💚💛💚💛💛💚💛💚💛💛